- Msanii wa kwanza East Africa kushinda tuzo tatu za Chanel O.
- Msaniii wa kwanza wa bongo fleva kushinda tuzo 7 za kili music awards.
- Msanii wa kwanza wa bongo fleva kuwa nominated kwenye tuzo kubwa duniani za BET
- Msanii wa kwanza wa bongo fleva kuwa nominated kwenye tuzo za MTV Europe Music Awards.
- Msanii wa kwanza Tanzania kushinda tuzo kubwa nchini Nigeria “Future Awards”.
- Msanii wa kwanza Tanzania mwenye ushawishi mkubwa zaidi kwenye jamii (uraiani) kuwa hi kutokea.
- Msanii mwenye ushawishi mkubwa katika mitandao ya kijamii(facebook,twitter,instagram nk)
- Msanii anaelipwa pesa nyingi zaidi kwenye show kuliko msanii yeyote East Africa
- Msanii mwenye ulinzi mkali zaidi kuliko msanii yeyote East Afrika
- Msanii aliyefanya kazi kubwa zaid kuinua maslahi ya wasanii katika shows,kwa kupandisha kiwango cha malipo katika shows zake.
- Msanii wa kwanza wa bongo fleva kufanya callable nyingi za nje.
- Msanii wa kwanza Tanzania kuwa na videos nyingi zenye viewers (watazamaji) zaidi ya million mbili youtube.
- Msanii pekee East Africa anayeweza kupiga shows sehemu yoyote Afrika mashariki & kati na akajaza uwanja wa mpira peke yake.
- Msanii pekee Tanzania ambae anafahamika zaidi nje ya nchi.
Jionee mwenyewee......(video)
No comments:
Post a Comment