Hii ndio nguvu ya mionzi ya simu,sipati picha madhara tutakayo yapata kwenye ubongo........

                     Kuna fununu ama naweza ziiita tetesi nilizisikiaga ya kwamba madhara tunayo au niseme tutakayo yapata kutokana na matumizi ya simu ni makubwa lakini nilipuuza ila embu jionee mwenyewe hapo nguvu ya mionzi ya simu pale inapoita inavyoweza kufanya maajabu inauwezo wa kuivisha muhindi wa bisi hadi kutoa bisi kamili.

                                             
      sasa kwa wale wenzangu na mimi wa kuongea usiku masaa 6 hadi sikio ukikata simu unalikanda inakuwaje hapo.

No comments:

Post a Comment