Hakika za mwizi 40,majambazi yakamatwa Zanzibar.......
Majambazi wamekamatwa Darajani Zanzibar jana baada ya kufyatuliana
risasi na polisi wakati wakijaribu kukimbia. Katika tukio hilo wananchi
kadhaa walijeruhiwa kwa kugongwa na gari katika harakati za majambazi hayo
kukimbia. Polisi imewatia mbaroni majambazi watatu baada ya wananchi
kutoa ushirikiano.
Mmojawapo ya majambazi waliokamatwa akiwa hoi baada ya kujeruhiwa na polisi.
Jambazi huyo akiwa katika gari la polisi.
mmoja wa watuhumiwa wa ujambazi akiwa chini ya ulinzi wa polisi..
No comments:
Post a Comment