Micah ni mwanaume lakini ana hips kama au zaidi ya mwanamke! Zile hips ambazo baadhi ya wadada huzitamani kiasi cha kuamua kuzitafuta kwa daktari. Kijana huyo ambaye ni msanii wa R&B anayechipukia mwenye miaka 20 kutoka Chicago, Marekani, amechukua headlines kutokana na umbo lake kuwashangaza wengi.Hivi ni vipimo vya mwili wake:
Kifua: 41.5″ Kiuno: 37″ butt/hips: 63″


.jpg)

No comments:
Post a Comment